Kenya yalalamika kuhusu Tanzania kutoa vibali kwa michezo ya shabaha
Tanzania na Kenya nchi majirani Afrika Mashariki kila mmoja anasimamia makundi ya tembo kwa njia tofauti. Kenya ina msimamo wa kutovumilia kabisa uwindaji wa wanyama pori na uuzaji wa pembe za ndovu huku ikipata mapato yake kwa watalii wanaokuja nchini kutazama wanyama hao. Lakini Tanzania inatoa leseni za uwindaji kwa wanaofanya hivyo kama michezo ya kulenga shabaha kila mwaka. Je, wito wa Kenya kuitaka Tanzania kuwawekea wawindaji wake mipaka kama njia ya kuwalinda Tembo wa Kenya itafaulu? Ungana na mwandishi wetu akukuletea ripoti kamili kuhusu kadhia hiyo. Endelea kusikiliza...
#tanzania #kenya #tembo #uwindaji #utalii #afrikamashariki #pembe #ndovu #mapato #uwindaji #shabaha #wito #michezo #voa #voaswahili
27 Jul 2024
- The teachers noted that the would be monitoring their demands from July 31.
27 Jul 2024
- Rain is expected on Saturday and on Sunday in some parts of the country.
26 Jul 2024
- The case of Rex has taken yet another twist, after IPOA failed to identify the officer, now the family says the body was tampered with.
27 Jul 2024
- G20 finance ministers are expected to take a first step towards international cooperation on taxing the super-rich Friday, with a deal in Brazil likely to call for individual nations to strengthen their own measures, rather than delivering a set of…
27 Jul 2024
- The teachers noted that the would be monitoring their demands from July 31.
27 Jul 2024
- Rain is expected on Saturday and on Sunday in some parts of the country.
27 Jul 2024
- Raila's allies nominated to the Cabinet will face an uphill task once they are in place.
27 Jul 2024
- What if President Ruto wakes up and fires the CSs like he did the other day?
27 Jul 2024
- Residents say despite receiving valid court orders, private developers continue their activities unabated
27 Jul 2024
- The entities increased their spending by Sh591 million
27 Jul 2024
- Panic in Kihiu Mwiri as residents face eviction
27 Jul 2024
- Teachers' pay rise plan in limbo as Treasury cuts Sh10b from budget
27 Jul 2024
- My father sold land but we lost it all, man says in Finland saga trial