25 Sep 2025 7:56 pm | Citizen TV 272 views Duration: 57s Timu ya taifa ya baseball kwa wachezaji watano chipukizi imeanza michuano ya kombe la dunia kwa matokeo mchanganyiko huko Nayarit nchini Mexico.