Kenya yanyakua medali nne siku ya mwisho katika mashindano ya dunia nchini Hungary

  • | Citizen TV
    4,255 views

    TIMU YA KENYA YA RIADHA IMEANZA SAFARI YA KUREJEA NYUMBANI SIKU MOJA BAADA YA KUKAMILIKA KWA MASHINDANO YA RIADHA DUNIANI. KENYA ILIFANYA VYEMA NA KUNYAKUA MEDALI NNE KWENYE SIKU YA MWISHO YA MASHINDANO MJINI BUDAPEST, HUNGARY. MWANASPOTI MIKE OKINYI NA TAARIFA KAMILI.