Skip to main content
Skip to main content

Kenya yaomboleza kifo cha Raila Odinga leo

  • | KTN News
    39,445 views
    Duration: 5:05
    #ktnnews #KTNNewsDigital #ktnkenya #KTNTV #KTNHome #KenyaNews 🔴 LIVE: US Election Day 2024: KTN News Kenya | Breaking News & Entertainment Hub Welcome to the 24/7 KTN Kenya News Channel on YouTube – your trusted source for the latest news and updates in Kenya and beyond. Jioni ya leo, Kenya inaomboleza... Wakenya wanaomboleza kifo cha aliyekuwa Waziri Mkuu Raila Odinga, ambaye aliaga mapema Jumatano nchini India ambako alikuwa akitibiwa. Akihutubia taifa, Rais William Ruto amesema Odinga atapewa mazishi ya hadhi ya kitaifa huku kamati andalizi ikiongozwa na Naibu Rais Prof. Kithure Kindiki. Waziri Mwandamizi Musalia Mudavadi ataongoza kikosi cha viongozi ambao watashughulikia kuletwa kwa mwili wa Odinga nchini. Stay informed with our comprehensive news coverage, breaking stories, in-depth analysis, and exclusive reports. Our live-streaming service brings you real-time updates on current affairs, politics, business, technology, health, entertainment, and much more. Join us and be a part of the conversation, and don't forget to subscribe for the latest news and updates. Stay connected with KTN Kenya News, your reliable news partner. #KTNKenya #NewsChannel #BreakingNews #KenyaNews #ktnprime #livestream #livenews SUBSCRIBE to our YouTube channel for more great videos: https://www.youtube.com/ktnnewskenya Follow us on Twitter: https://twitter.com/KTNNewsKe Like us on Facebook: https://www.facebook.com/KTNNewsKenya KTN News is a leading 24-hour TV channel in Eastern Africa with its headquarters located along Mombasa Road, at Standard Group Centre. This is the most authoritative news channel in Kenya and beyond. Watch KTN Live http://www.ktnnews.com/live Watch KTN News http://www.ktnnews.com Follow us on http://www.twitter.com/ktnnews Like us on http://www.facebook.com/ktnnews