Kenya yasubiri kibali kabla ya kujenga kituo cha utafiti wa Nuclear

  • | Citizen TV
    449 views

    Kenya inamatumaini ya kupewa kibali na mamlaka ya kimataifa ya kawi ya Atomic maarufu International Atomic Energy Agency ya kujenga kituo cha utafiti hapa nchini. mamlaka hiyo inayosimaia shughuli za kawi ya inasema ukaguzi ulitekelezwa mapema mwezi huu na ripoti ya mwisho inasubiriwa kabla ya kibali kutolewa. Aidha mradi huo unatarajiwa kusaidai sekta za kilimo, utengezaji dawa na masomo ya elimu ya juu hapa nchini.