- 159 viewsDuration: 3:11Kenya iliandaa kongamano la kimataifa kuhusu gesi zinazoathiri viwango vya joto duniani na ustawi wa mifugo. Zaidi ya wajumbe 500 kutoka mataifa mbalimbali walikutana kujadili mbinu endelevu za kupunguza hewa chafu zinazotokana na mifugo, kando na kuboresha utoshelevu wa chakula na kuimarisha mapato ya wakulima