Kerio Valley: Serikali yaanza mikakati ya kufufua kampuni ya kuchimba madini ya Flourspar

  • | NTV Video
    227 views

    Serikali imeanza mikakati ya kufufua kampuni ya kuchimba madini AINA YA Flourspar, katika eneo la Kerio Valley, iliyofungwa miaka minane ilyopita kama njia moja ya kukwamua uchumi katika eneo hilo.

    Subscribe to NTV Kenya channel for latest Kenyan news today and everyday. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows.

    Website: ntvkenya.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya