Wabunge wakashifu vikali makala ya upekuzi ya BBC

  • | Citizen TV
    972 views

    Baadhi ya wabunge wanaoegemea upande wa serikali wamelikashifu shirika la habari la BBC, wakisema linawachochea vijana kuanza vurugu kupitia kwa makala yao maalum ya Blood Parliament yaliyochapishwa hapo Jumapili. Wakizungumza bungeni, baadhi ya wabunge hao walitaka uchunguzi kuanzishwa kuhusu BBC huku wale wa upinzani wakitaka kamati maalum kuundwa kutatua matukio ya tarehe 25 Juni mwaka jana wakati wa maandamano ya GEN_Z