Kero la Mafuriko I Mtu mmoja anusurika kifo baada ya lori lake kusombwa huko Galana Kulalu

  • | KBC Video
    51 views

    Mtu mmoja wa umri wa makamo amenusurika kifo baada ya lori lake kusombwa na mafuriko huko Galana Kulalu. Lori hilo lilikumbwa na mafuriko ya ghafla lilipokuwa likipita kwenye kivukio kimoja cha maji na kuangukia upande mmoja. Mtu huyo alikwama mahala hapo kwa muda wa saa sita kabla ya kuokolewa na helikopta ya shirika la Sheldrick Trust.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channell: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.com/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1news Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #floods #darubini