17 Dec 2025 1:12 pm | Citizen TV 201 views Duration: 1:04 Jaji Lucy Gicheru wa mahakama ya mazingira ataamua kesho iwapo kesi iliyo wasilishwa na mwanamazingira Joel Meitemei Ololdapash aliyetaka kambi ya Ritz-Carlton Masai Mara safari camp kuondolewa itaendelea au la.