- 335 viewsDuration: 2:04Kesi mbili zinazonuia kuzitafutia haki na fidia familia 21 zilizowapoteza watoto wao kwenye mkasa wa moto shuleni hillside Endarasha zaidi ya mwaka mmoja uliopita zimewasilishwa kwenye mahakama ya Nyeri na tume ya kutetea haki za kibinadamu,KHRC