Skip to main content
Skip to main content

Kesi ya mauaji ya Albert Ojwang yaanza kusikilizwa mahakama ya Kibra

  • | Citizen TV
    2,475 views
    Duration: 1:00
    Kesi ya mauaji ya mwanablogi na mwalimu Albert Ojwang inasikilizwa kuanzia leo katika mahakama ya Kibra hapa jijini Nairobi. Ojwang alifariki mwezi juni mwaka uliopita kwenye seli za kituo cha polisi cha central. washukiwa sita akiwemo aliyekuwa ocs wa kituo hicho Samson Talaam wanachunguzwa.