- 1,508 viewsDuration: 2:38Idara ya polisi sasa inataka mahakama inayosikiliza kesi ya mauaji ya rex masai kubatilisha uamuzi ulioagiza kuwasilishwa kwa sajili ya kutoa silaha na kunakiliwa kama ushahidi. Kupitia mawakili wake, idara ya polisi inasema uamuzi huo ulikuwa kinyume na sheria na ulikiuka maagizo ya kutoa taarifa kuhusu vifaa vya kiusalama.