Skip to main content
Skip to main content

KHRC kuishtaki UDA kwa kukwepa ushuru

  • | Citizen TV
    4,696 views
    Duration: 2:58
    Tume ya kutetea haki za binadamu imetishia kukishtaki chama cha UDA na maafisa wake wakuu kwa kukosa kulipa ushuru na utumizi mbaya ya fedha za umma. Ikirejelea ripoti ya Mkaguzi wa hesabu za serikali, tume hiyo imesema UDA haikulipa ushuru wa zaidi ya shilingi milioni 69 katika mwaka wa kifedha wa 2023/24 na 2024/25 licha ya kulipa mishahara ya zaidi ya shilingi milioni 128.