Skip to main content
Skip to main content

Kiambu: serikali ya kaunti yazindua awamu ya pili ya mpango wa "Maji Nyumbani"

  • | NTV Video
    129 views
    Duration: 1:38
    Serikali ya Kaunti ya Kiambu imezindua awamu ya pili ya mpango wa "Maji Nyumbani", ukilenga kuunganisha kaya mpya 100,000 na huduma ya maji safi katika maeneo mbalimbali ya kaunti hiyo. Subscribe and watch NTV Kenya live for latest Kenyan news today and everyday as told by Kenyans. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows. Website: https://www.ntvkenya.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya