Kiambu: Serikali yaanzisha mradi wa ujenzi na upanuzi wa barabara Thika

  • | NTV Video
    248 views

    Serikali ya kitaifa na serikali ya kaunti ya Kiambu zimeanzisha mradi wa ujenzi na upanuzi wa barabara wenye thamani ya shilingi bilioni 5 katika mji wa Thika, hatua inayolenga kutatua kero la msongamano wa trafiki ambalo limekuwa likisumbua wakazi kwa muda mrefu.

    Subscribe to NTV Kenya channel for latest Kenyan news today and everyday. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows.

    Website: ntv.nation.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya