Skip to main content
Skip to main content

Kichinjio cha kisasa cha Isiolo chakamilika baada ya miaka 17

  • | Citizen TV
    4,614 views
    Duration: 2:34
    Ujenzi wa kichinjio cha kisasa cha Isiolo, ambao umechukua muda wa zaidi ya miaka 17 umekamilika. kichinjio hicho cha kiwango cha kimataifa kina uwezo wa kuchinja na kuchakata wanyama 2,900 katika zamu moja ya saa nane.