Kichwa kinachoaminika kuwa cha Rita Waeni chapatikana kwenye bwawa huko Kiambaa, Kiambu.

  • | K24 Video
    2,367 views

    Maafisa wa polisi wamekipata kichwa cha binadamu kinachoaminika kuwa cha msichana aliyeuawa eneo la TRM drive mtaani Nairobi. Kwa mujibu wa polisi inaaminika kichwa hicho ambacho kimetambuliwa huko kiambaa ni cha Rita Waeni Muendo.