Sokwe wanatumia miti Shamba kama dawa kutibu majeraha yao

  • | BBC Swahili
    24,240 views
    Nchini Uganda Sokwe wanatumia miti Shamba kama dawa kutibu majeraha yao Makundi mawili ya wanyama hao katika msitu wa Budongo wameonekana wakijitibu na hata kitibu wenzao kama Binadamu Wanajuaje kuhusu tiba hii? Kwa haya na mengine mengi ungana na @RoncliffeOdit katika Dira ya Dunia TV saa tatu kamili usiku kwenye ukurasa wetu wa YouTube, BBC News Swahili.