- 3,826 viewsDuration: 2:54Familia ya afisa wa polisi kennedy mutuku nzuve aliyefariki nchini haiti inairai serikali kuwasaidia kuufikisha mwili wake nchini na kufanikisha mipango ya mazishi. Mamake mutuku, serah ndunge, anasema kifo cha mwanawe wa pekee ni pigo kubwa kwani alikuwa na matarajio ya kumwona tena mwezi novemba alipopangiw akurejea nchini kw alikizo. Na kama anavyoarifu gatete njoroge, mutuku alifariki baada ya gari alimokuwa wakati w aoperesheni nchini haiti ilipopata ajali.