Kifo cha Rex Masai: Shahidi mkuu atoa taarifa mahakamani

  • | NTV Video
    233 views

    Uchunguzi wa kifo cha Rex Masai, aliyeuawa wakati wa maandamano ya Gen Z mwezi wa Juni mwaka wa 2024, ulianza tena katika mahakama ya Milimani ambapo shahidi mmoja alieleza kuwa aliona afisa wa polisi aliyevalia kiraia akiwafyatulia risasi waandamanaji katika mtaa wa kimathi, ambapo masai aliuawa kwa kupigwa risasi.

    Subscribe to NTV Kenya channel for latest Kenyan news today and everyday. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows.

    Website: ntvkenya.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya