Kiini cha mzozo kati ya Somalia na Ethiopia ni nini?

  • | BBC Swahili
    846 views
    Bunge nchini Somalia limeidhinisha mikataba ya ushirikiano wa kiulinzi na kiuchumi iliyotiwa saini hivi karibuni na mawaziri wa ulinzi wa Uturuki na Somalia. Kwa mujibu wa makubaliano hayo ya miaka kumi, Uturuki itavipa silaha na kutoa mafunzo kwa vikosi vya Jeshi la Wanamaji la Somalia na kupeleka vikosi vyake vya wanamaji katika maji ya Somalia kwa madhumuni ya ulinzi, hatua kubwa katika kuimarisha usalama wa baharini wa Somalia na kupambana na vitisho vinavyoibuka katika eneo hilo. #bbcswahili #somalia #somaliland Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw