Kijana mdogo achukua jukumu kuwalisha mbwa na paka wa mitaani

  • | VOA Swahili
    62 views
    Kijana mdogo nchini Somalia, amechukua jukumu la kulisha mbwa na paka anaowakuta barabarani mjini Mogadishu. Kazi hiyo nzuri anayoifanya ni wito kwa wengine kumuunga mkono #voaswahili Sauti ya Amerika - Idhaa ya Kiswahili inawafikia zaidi ya watu milioni 100 wanaotembelea tovuti, mitandao ya kijamii, radio na televisheni zetu. Tunawasilisha maudhui kuhusu Afrika Mashariki na Kati kwa nchi takriban 11 huko Afrika na wale walioko ughaibuni na kwingineko duniani. Vipindi vyetu vimejikita katika maudhui mbalimbali ikiwemo habari, vijana, wanawake, siasa, sayansi, teknolojia, afya, biashara, michezo, muziki na burudani na pia tunawashirikisha wasikilizaji wetu.