Kijana mpigapicha aliyeacha kazi hiyo na kujitosa katika siasa.

  • | BBC Swahili
    370 views
    Patrick Mbelle Mwavula, Diwani wa kata ya Bamburi, kaunti ya Mombasa, Kenya anaelezea kwa kina sababu iliyomfanya kubadili taaluma yake na kuingia katika ulimwengu wa siasa akiwa na umri wa miaka 29 tu wakati huo. Je aliweza vipi kuhimili mikiki mikiki ya siasa licha ya umri wake mdogo huku akiwa hana rasilimali wala uzoefu uzoefu wa kutosha kukabiliana na wakongwe wa siasa.? #bbcswahili #kenya #vijana