Kijana wa miaka 17 alifariki baada ya kuzama katika maji ya mchimbo na mwili wake haujaopolewa baado

  • | TV 47
    21 views

    Wakaazi wa Lucky Summer na Baba Dogo jijini Nairobi sasa wameitaka serikali ya kaunti kufanya hima ili kuhakikisha kuwa mwili wa kijana mmoja wa miaka 17 umetolewa katika mchimbo ulioko katika mpaka wa Lucky Summer na Kasarani.

    Kijana huyo alizama jumatatu katika maji yaliyojaa katika mchimbo huo uliotelekezwa na hadi sasa mwili haujatolewa.

    #TV47Matukio

    Thank you for watching this video. Kindly subscribe for more content from 'Home of The Untold Stories.'

    *About TV47* 'TV47 is on GOtv (Channel 102), DStv (Channel 268), SIGNET, Gotv, BAMBA and STARTIMES. __ For Breaking News, kindly subscribe by sending ‘NEWS’ to 22047. __

    Connect with us:

    Website: https://www.tv47.digital/ Facebook: https://www.facebook.com/TV47KE Twitter: https://twitter.com/tv47news Instagram: https://www.instagram.com/tv47ke/ TikTok: https://www.tiktok.com/@tv47_ke Telegram: https://t.me/tv47_ke WhatsApp: 0797 047 047 __