Kijiji ambacho wasomi wana kiwango cha elimu cha shule ya msingi

  • | West TV
    54 views
    Ushawahi jiuliza iwapo kuna jamii ambayo tangu kenya kujinyakulia uhuru mwaka 1963 kufikia mwaka 2015 hakukuwa na mtoto yeyote aliyewahi kusoma zaidi ya shule ya msingi? Amini usiamini ndiyo hali ambayo imekikumba kijiji cha Ebudwang’i eneo bunge la Butula kaunti ya busia kwa miaka 52.