Kenya imechukua hatua kabambe kukabiliana na tishio la majengo yasiyo salama, kwa kuzindua Kitabu kipya cha Mwongozo wa Ukaguzi ambacho kinanuiwa kuimarisha usimamizi katika maeneo ya ujenzi kote nchini. Kitabu hicho kilichozinduliwa jijini Nairobi, kimetayarishwa na wahandisi, Halmashauri ya Kitaifa ya Ujenzi, na serikali za kaunti, na kinahimiza ukaguzi wa wazi wa usalama katika kila hatua ya ujenzi, kuanzia viunga vya umeme hadi uadilifu wa miundo.
Connect with KBC Online;
Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc
Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1
Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV
Check our website: https://www.kbc.co.ke/
#kbcchannel1 #news #kbclive