Kikao cha UNEA chakosolewa kwa kushindwa kujadili jinsi kukabiliana uzalishaji wa plastiki.

  • | VOA Swahili
    72 views
    Kikao cha sita cha umoja wa mataifa kuhusu mazingira UNEA sita kimekosolewa kwa kukosa kuendeleza mazungumzo ya kubuni sheria ya kimataifa ya kupiga marufuku uzalishaji wa plastiki. Washiriki katika mazungumzo haya mbayo yamekuwa yakiendelea Nairobi Kenya wanalalamika ushawishi wa baadhi ya mataifa hasa yale yanayozalisha kawi kupitia mafuta ya kisuku kudhoofisha mazungumzo haya kwa sababu zao kibinafsi. #VOASwahili Sauti ya Amerika - Idhaa ya Kiswahili inawafikia zaidi ya watu milioni 100 wanaotembelea tovuti, mitandao ya kijamii, radio na televisheni zetu. Tunawasilisha maudhui kuhusu Afrika Mashariki na Kati kwa nchi takriban 11 huko Afrika na wale walioko ughaibuni na kwingineko duniani. Vipindi vyetu vimejikita katika maudhui mbalimbali ikiwemo habari, vijana, wanawake, siasa, sayansi, teknolojia, afya, biashara, michezo, muziki na burudani na pia tunawashirikisha wasikilizaji wetu.