Kikosi cha Rising Starlets chaelekea Angola kwa mashindano ya kufuzu kombe la dunia mwaka wa 2024

  • | Citizen TV
    266 views

    Timu ya kandanda ya chipukizi Rising Starlets imeondoka leo alfajiri kuelekea Angola kwa mechi ya mkondo wa pili ya mashindano ya kufuzu kombe la dunia mwaka wa 2024.