Kikosi cha timu ya Kriketi kitaondoka nchini Novemba 15

  • | Citizen TV
    176 views

    Kamati ya muda ya Kriketi nchini imetaja kikosi cha wachezaji 14 kitakachowakilisha taifa kwenye mashindano ya ukanda wa kusini mwa sahara yatakayoandaliwa jijini Kigali Rwanda Novemba 16 hadi 26.