- 201 viewsDuration: 3:27Kikosi cha Wamba Pirates FC ndio mabingwa wapya wa makala ya tatu ya michuano ya kombe la gavana wa kaunti ya samburu. Hii ni baada ya kuwalaza wapinzani wao mabingwa watetezi Nabore FC bao moja kwa sufuri . Kaunti ya samburu ikitumia michezo kama njia ya kuhubiri amani na utangamano baina ya jamii hasimu.