Kikosi taifa cha wanyanyuaji uzani wasio na uwezo wa kuona kinaondoka nchini leo kuelekea kazakhstan

  • | Citizen TV
    196 views

    Timu ya Kenya ya unyanyuaji uzani kwa wachezaji walio na ulemavu wa kuona itaondoka nchini usiku wa leo kuelekea Kazakhstan tayari kwa mchuano wa dunia. Mwanaspoti wetu Luqman Mahmoud aliwatembelea kambini mwao na kuandaa taarifa hii.