Skip to main content
Skip to main content

Kilifi yazindua mpango wa kuimarisha uchumi wa bahari kupitia mradi wa Marine Spatial Plan

  • | KTN News
    110 views
    Duration: 2:55
    #ktnnews #KTNNewsDigital #ktnkenya #KTNTV #KTNHome #KenyaNews 🔴 LIVE: US Election Day 2024: KTN News Kenya | Breaking News & Entertainment Hub Welcome to the 24/7 KTN Kenya News Channel on YouTube – your trusted source for the latest news and updates in Kenya and beyond. Serikali inaendelea na mchakato wa kuwahusisha washikadau katika mpango wa kugawa maeneo ya bahari kwa matumizi mbalimbali ili kuimarisha uchumi wa bahari. Mpango huo, ujulikanao kama Marine Spatial Plan, unafadhiliwa na serikali ya Kenya na Benki ya Dunia kupitia shirika la uvuvi wa baharini KEMFSED. Lengo kuu ni kutoa mwongozo wa matumizi ya maeneo ya baharini katika sekta kama vile uvuvi, usafirishaji, utalii, utamaduni na nishati. Wizara ya Madini na Uchumi Samawati, kupitia Idara ya Uchumi wa Baharini, imeendesha mikutano katika kaunti za Kilifi, Kwale, Lamu, Tana River na Mombasa ili kukusanya maoni kutoka kwa wadau kuhusu uhifadhi, maendeleo, na matumizi ya rasilimali za baharini. Stay informed with our comprehensive news coverage, breaking stories, in-depth analysis, and exclusive reports. Our live-streaming service brings you real-time updates on current affairs, politics, business, technology, health, entertainment, and much more. Join us and be a part of the conversation, and don't forget to subscribe for the latest news and updates. Stay connected with KTN Kenya News, your reliable news partner. #KTNKenya #NewsChannel #BreakingNews #KenyaNews #ktnprime #livestream #livenews SUBSCRIBE to our YouTube channel for more great videos: https://www.youtube.com/ktnnewskenya Follow us on Twitter: https://twitter.com/KTNNewsKe Like us on Facebook: https://www.facebook.com/KTNNewsKenya KTN News is a leading 24-hour TV channel in Eastern Africa with its headquarters located along Mombasa Road, at Standard Group Centre. This is the most authoritative news channel in Kenya and beyond. Watch KTN Live http://www.ktnnews.com/live Watch KTN News http://www.ktnnews.com Follow us on http://www.twitter.com/ktnnews Like us on http://www.facebook.com/ktnnews