- 143 viewsDuration: 2:57Mamlaka ya Kilimo na Chakula (AFA) imezindua mpango mpya wa kufufua kilimo cha miraa, ikilenga maeneo ambako miraa inakuzwa zaidi kama vile kaunti za Meru na Embu. Mpango huo unalenga kuongeza uzalishaji, kuboresha mbinu za usafirishaji na kushirikisha masoko ya kimataifa. Kwenye makala ya Kilimo Biashara.