Skip to main content
Skip to main content

Kilimo biashara | Teknolojia mpya yasaidia wakulima wa Nakuru kuongeza uzalishaji wa viazi

  • | Citizen TV
    616 views
    Duration: 3:34
    Wakulima wa viazi nchini wanahimizwa kutumia teknolojia za kisasa ili kuongeza uzalishaji wa kibiashara. Mojawapo ya mbinu zinazopendekezwa ni matumizi ya mbegu zilizoimarishwa. Mbegu hizo hutokana na tishu za mimea yenye afya ambazo hupandikizwa na kukuzwa ili kuzaa mimea midogo inayopandwa shambani au kwenye vivungulio. Teknolojia hii huwapa wakulima mbegu zisiso na magonjwa na mimea inayokua kwa haraka