Kilimo cha viazi chafana mashambani baada ya majaribio kadhaa kaunti ya Kwale

  • | Citizen TV
    399 views

    Kilimo cha viazi kimekuwa kikifanya vyema sana katika maeneo ya kati mwa nchi na hata bonde la ufa na si kilimo kinachoendeshwa sana maeneo ya Pwani. Hata hivyo sasa katika kaunti ya Kwale viazi vimeonekana kufana mashambani baada ya majaribio kadhaa.