Skip to main content
Skip to main content

Kilio cha Wakulima

  • | Citizen TV
    253 views
    Duration: 1:42
    Huku mgomo wa wafanyakazi wa kampuni ya Sukari ya Sony ukiingia siku ya tatu wakulima wa miwa sasa wanaibua wasiwasi wao wakisema kuwa mgomo unaoendelea umewanyima riziki ya kila siku na kuwaondolea furaha waliyokuwa wameanza kuwa nayo baada ya kubinafsishwa kwa kampuni hiyo ya kutengeneza sukali kutoka kwa serikali.