- 6,187 viewsDuration: 45sKiongozi wa Korea Kaskazini Kim Jong-Un amewasili China katika ziara adimu nje ya nchi yake, wakati ambapo mwenyeji wake Rais Xi Jinping amemkaribisha Rais Vladimir Putin wa Urusi na viongozi wengine. Ziara hii inamaanisha nini kwao na inatuma ujumbe gani kwa ulimwengu? Jiunge na @hamidaabubakar kwa haya na mengi kwenye Dira ya Dunia TV mubashara saa tatu usiku kupitia ukurasa wa youtube BBC Swahili. Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw