Kimeme mwenye sehemu moja ya haja kubwa na ndogo Matete Kakamega

  • | West TV
    137 views
    Wakazi wa kijiji cha Mukhuyu kata ndogo ya Kilibot wilayani Matete kaunti ya Kakamega wamesalia katika hali ya mshangao baada ya mbuzi wa mkazi mmoja kijijini humo kujifungua mwanambuzi mwenye maumbile ya kustaajabisha huku akitumia sehemu moja kwenda haja ndogo na kubwa.