Kimondo chatua juu ya paa la nyumba Marekani

  • | BBC Swahili
    1,364 views
    Kitu kinachoshukiwa kuwa ni kimondo chaanguka kwenye paa la nyumba ya familia hii iliyoko New Jersey Marekani. Maafisa wanaamini kuwa kitu hiko ambacho kilivunja paa la nyumba kuwa ni kimondo kilichoanguka kutoka angani. kilisababisha mshtuko na uharibifu mdogo, ambao familia imeonesha katika kamera #bbcswahili #marekani #kimondo