Kina mama kutoka kisii wajumuika na familia za mtaani Nairobi

  • | Citizen TV
    971 views

    Kundi la akina mama kutoka Kisii lilijumuika na familia za mtaa hapa jijini Nairobi kusherekea sikukuu ya Krismasi. Familia hizo za mtaani zilisakata densi na kupokea msaada wa chakula kutoka kwa kina mama hao. Ambao waliiomba serikali ya kaunti ya Nairobi kutafutia familia hizo nafasi za kazi ili ziweze kujikimu kimaisha. Aidha kina mama hao walisema hatua hiyo itapunguzaidadi ya watoto wanaorandaranda mitaani.