Kina mama wa Turkana, Pokot Magharibi wapewa shilingi milioni 7 kukabiliana na athari za makabiliano

  • | Citizen TV
    156 views

    Jumla ya makundi kumi na mawili yanayojumuisha kina mama, vijana na wanaharakati walioko katika mpaka wa kaunti za Turkana na Pokot yamenufaika na jumla ya shilingi milioni saba, fedha ambazo wamepewa ili kuweza kuwasaidia kujikwamua kiuchumi wanapopambana na vita dhidi ya dhulma za kijinsia katika jamii zao.