- 169 viewsDuration: 3:50Gavana wa Kilifi Gedion Mungaro ametetea mkataba mpya wa afya baina ya Kenya na Marekani akisema utafaidi serikali za kaunti na kupiga jeki juhudi za kuboresha afya nchini. Mung'aro alikuwa akizungumza huko bamba ganze kaunti ya Kilifi wakati wa uzinduzi wa zahanati ya wanawake wajawazito kwa ushirikiano na kampuni ya Safaricom kwa kima cha shilingi milioni 300