- 259 viewsDuration: 4:37Kenya inapoteza maelfu ya kina mama kutokana na matatizo yanayotokana na ujauzito na kujifungua kila mwaka. Takwimu hizo zinaashiria familia zilizoachwa bila mama, watoto bila walezi, na jamii zinazolazobaki na uchungu na mzigo kutokana na vifo hivo.