Kina mama zaidi ya 60 wajifungua usiku wa Krismasi Kirinyaga

  • | Citizen TV
    1,708 views

    Wazazi zaidi ya 60 walijifungua usiku wa kuamkia sikuukuu ya ksrismasi katika kaunti ya Kirinyaga.