Kinara wa Azimio ashikilia maandamano yataendelea

  • | Citizen TV
    19,245 views

    Kinara wa Azimio Raila Odinga ameshikilia kuwa maandamano ya upinzani hayatasitishwa na vitisho vyovyote kutoka kwa serikali. Katika taarifa kwa vyombo vya habari, odinga amehikilia kuwa serikali ina njama ya kuwalenga viongozi wa azimio, huku naye kinara mwenza kalonzo musyoka akionya polisi dhidi ya kutumiwa visivyo.