Kinara wa Azimio Raila ahutubia kongamano la Ugatuzi mjini Eldoret

  • | Citizen TV
    8,353 views

    Kongamano la Ugatuzi linaloendelea mjini Eldoret kaunti ya Uasin Gishu limeendelea kwa siku ya pili huku kinara wa Azimio Raila Odinga akitarajiwa kuhutubia kongamano hilo.