Kinara wa Azimio Raila Odinga atangaza maandamano kila Jumatatu

  • | Citizen TV
    5,939 views

    Kiongozi wa upinzani Raila Odinga ametangaza kuwa wataandaa maandamano kila siku ya jumatatu kuendelea kupinga na kushinikiza serikali ya rais William Ruto. Raila aliyeongoza msafara wa maandamano katika baadhi ya sehemu za hapa nairobi amesema hatasitisha maandamano hayo hadi wapate matakwa yao. Msafara huo ulishindwa kuingia katikati mwa jiji na hata ikulu kama ilivyopangwa, badala yake ukilazimika kupitia maeneo ya Eastleigh hadi Mathare,