Kinara wa chama cha Wiper Kalonzo amekashifu utendakazi wa serikali

  • | Citizen TV
    946 views

    Kinara wa chama cha Wiper Kalonzo Musyoka amesisitiza kuwa muungano wa upinzani utaendelea kuikosoa serikali kuhusu maswala yanayowaumiza wa Kenya.