- 3,730 viewsKinara wa DCP Rigathi Gachagua amesema kuwa muungano wa upinzani unajiandaa kuhakikisha kuwa Rais William Ruto hapati muhula wa pili wa kuongoza kama rais. Akizungumza katika eneo bunge la Roysambu, Gachagua amepuuzilia mbali mdahalo wa ni nani atakayekuwa naibu wa rais katika muungano wa rais William Ruto na chama cha ODM,